Recent content by usale2025

  1. U

    JamiiForums Tanzania Utafiti niliofanya umeonesha binadamu ndio kiumbe mwenye upeo mdogo sana wa akili kuliko viumbe wengine

    kwa hiyo smatphone uliyotumia kuandika huu uzi kagundua mnyama gani?
  2. U

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    IRANI WALIHAMISHA MZIGO FASTA KABLA FODO HAIJALIPULIWA ,HII NI PICHA YA SATELITE KABLA US HAWAJASHAMBULIA IKIONYESHA MAGARI MAKUBWA YAKIHAMISHA MZIGO
  3. U

    JamiiForums Tanzania Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

    Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga. Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa. Kuhusu usaidizi...
  4. U

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    hii vita israel kajichanganya aliwadharau iran sana ,now inamgharim may be west wamsaidie kiukweli amechemsha
  5. U

    JamiiForums Tanzania Iran Urusi na China wameipata teknolojia ya f 35 stealth kiuwepesi kabisa

    duh kweli ingia kwenye vita ndio utajua silaha zako ,siyo kujinad,IRAN IMEKUA YA KWANZA KUZIBIKIRI F35,MAAJABU
  6. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Hungarian Prime Minister Viktor Orban has questioned Russia's ability to attack NATO countries, as it is not "even capable of defeating Ukraine," he said in an interview with French TV channel LCI on June 8. "The Russians are too weak for that," Orban said. "They're not even capable of...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Ukraine inapokea kipondo cha karne muda huu, Tangia jana usiku, wanajuta kilicho watuma kuishambulia Russia

    mbona 15% kubwa sana mkuu,yaan 15% ametumia kwa kupata 20% ya nchi ya ukraine je akitaka kuichukua yote si atatumia 50% ya silaha,je atatoboa kweli kuteka nchi zote za NATO
  8. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ukraine ilivyotekeleza shambulizi dhidi ya ndege 40 za Urusi

    ilichukua miezi kumi na nane kuandaa hilo shambulio ,ni operation kubwa na bora kuwahi kufanikiwa ,kwani dron ziliingizwa russia kwa njia ya malori ya mizigo,waliozioperate walikua rusia mpaka mda huu russia inawasaka ,ikiwemo kufunga mipaka yake
  9. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    wewe kalale umejaa pumba tuu
  10. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    na wewe hizo data umepata wapi jibu?
  11. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    mkuu kwa nowdays hakuna mfumo bora wa ulinzi ni rahisi kuvumbua makombora lakini mifumo ya kuzuia hayo makombora ni kizungumti,thaad haina tofaut na S5 ya mrusi ,kazi ni zilezile mifumo ya squency ni ileile, tofauti ni technology,ila utendaji ni ule ule,ni kaba basi la makopolo ni ghal lakini...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    SILAHA ALIZOPEWA UKRAINE NI KWA AJILI YA KUJILINDA HAKUPEWA RUHUSA YA KULENGA URUSI MOJA KWA MOJA ,PIA ALIPEWA SHORT RANGE WEAPONS AMBAZO NI KWA AJILI YA KUJILINDA TUU, HATA MIFUMO YA ULINZI WALIYOPEWA NI MICHACHE, IMAGINE WANAPEWA NDEGE 8 ZA F-16,VIFARU 14 VYA JEOPARD,THEN UKABILIANE NA TAIFA...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    we jamaa mbishi sana ,kwa hiyo unakiri mwenyewe hawakupewa silaha zote.bali walipewa za kuslow down,alafu unaposema Russia ana silaha kuliko Marekani uje na twakwimu siyo blablaa,na pia ufahamu had mda huu asilimia 75%ya ukraine iko mikononi mwa USA,
Back
Top Bottom