Mungu alitoa na ametwaa jina lake kihimidiwe milele yeye ndiye anayejua sababu ya mavuno yake.Niseme watu wajue kwamba pesa na dhahabu ni Mali ya bwana.Elewa ukipewa pesa in mpango Wa Mungu kwako na ujue unapimwa.Hakika kitendo cha waombolezaji maarufu kwenye msiba Wa Ivan huko Uganda kutupwa...
Nimampenda sana Mh.RAIS JOHN POMBE MAGUFULI Mungu ambariki na amlinde sana hakika ana akili na ana macho namuomba Mungu ampe macho Makali zaidi na picha yake itishe kwenye idara zote za binafsi na za serikali kama ilivyo ya Mwalimu nyerere.watu wafanye kazi kwa uzalendo wa kweli.Tujitegemee.
Kufikia usasa una hatua zake.ukiangalia vita vya wenzetu kwa maana ya nchi zilizoendelea Ni vya anga na majini nchi kavu kwa maana ya asikari WA miguu ni Mara chache sana na maeneo machache sana inapobidi.nchi nyingi za afrika ni masikini kiuchumi, kitekinolojia, kisiasa, kijeshi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.