Recent content by UriosofT

  1. UriosofT

    Diploma Holders waliopata mkopo

    Wanazingua hawa. Watu tumechaguliwa course za Engineering na hatujapata mkopo.
  2. UriosofT

    HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Watu kibao hatujapata nani course ya science. (computer science). Unasemaje watu wote wamepata?? Wapo rafiki zangu wengi tuu na wamechaguliwa course za Engineering na hawajapata.
  3. UriosofT

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Ndio nchi yetu. Yaan admission next week hadi Leo hawajatoa. Sijui wanampango gani. Inchi yakiboya sana
  4. UriosofT

    Jinsi ya kufanya transfer ya chuo

    Naomba msaada jinsi ya kuhama chuo. Nimechaguliwa ifm Bt napenda kusoma udsm. Computer science. Niliaply kupitia Nacte. Je nifanyaje??
  5. UriosofT

    Ifm undergraduate

    Computer science..
  6. UriosofT

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    Wadau admission zimeanza lakin bodi ya mkopo bado. Wanampango gani?? Nafikiri wangetakiwa kutoa majina mapema ili watu wajue mapema maana ada zenyewe kuzipata ni ngumu kwa walio wengi
Back
Top Bottom