Recent content by Ureni Rombo

  1. U

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    uko sahihi kabisa mdau
  2. U

    JamiiForums Tanzania Jafo na tamisemi yake wanatumia vigezo gani kuajiri??

    Nadhani issue ya bajeti inakuwa imebana ndo maana wanaajiri kidogokidogo.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Ndalichako na TIE "vilivyoboreshwa" ni zaidi ya janga! Wabunge kusuka au kunyoa

    Kweli mkuu hayo ni matokeo ya viongiozi wetu kuchanganya elimu na siasa! duuh ! ubora wa elimu elimu nchini unazidi kushuka kila mwaka
  4. U

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Ndalichako na TIE "vilivyoboreshwa" ni zaidi ya janga! Wabunge kusuka au kunyoa

    wekeni picha za vitabu na makosa yake tuweze kuvichambua tubaini mapungungufu kama yatahitajika maboresho washauriwe namna ya kukabiliana na changamoto hiyo!
  5. U

    JamiiForums Tanzania Vitabu vya Ndalichako na TIE "vilivyoboreshwa" ni zaidi ya janga! Wabunge kusuka au kunyoa

    kwenye nembo ya taifa sijaona kilichokosewa
  6. U

    JamiiForums Tanzania Nondo hajaoga wala kubadili nguo kwa siku 16

    Inamaana wanamuogopa kijana mdogo hivooo !au kuna kitu nyuma ya pazia??????
  7. U

    JamiiForums Tanzania Serikali: Taarifa ya umri wa kudahiliwa kidato cha 5 ilikosewa. Ni kuanzia miaka 25 badala ya miaka 20

    Sera inakandammoza haki ya kupata elimu ni hatari
Back
Top Bottom