Duh! Hii ya Mithali 27:22 ndio nimeijua leo. Kwamba Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka..... 😂😂😂. Wahenga bwana....
Jamani hii kijani ionewe tu huruma. Shida ni kauli za mbwembwe walizokuja nazo kumbeza huyu mshambuliaji hatari Covid19 "clinical finisher" wakati anasajiliwa. Sasa ameanza kufunga magoli mfululizo wanaona soo kulamba matapishi yao... Ila hapa ni better late than never.. They are not on their...
Kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa SQM 2,400 jijini Dodoma, Kipo eneo la Itega, kimepimwa na kina Offer, Masharti ya kuendeleza ni ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja na kuendelea. Mwenye uhitaji ni-Pm.
Kwa watu waliostaarabika hii ilikuwa sababu tosha sana ya yeye kujitafakari, kujipima na kupisha watu wengine. Lakini kwa kuwa hapa ni kwa Wadanganyika, yupo anaendelea kudunda. Sijui nani alituloga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.