Waislamu wa afrika mashariki hawajapata kuwa na world muslim league iliyofutwa na serikali. Ni east african muslim welfare society. Mamakunda upo? Ni kuelimishana tu.
Kiongozi mkuu wa waislamu mtume muhammad (amani iwe juu yake) amesema:
"unapotaka kufanya jambo lolote lifikirie hatma yake. Ikiwa ni njema, fanya (jambo hilo), na ikiwa ni mbaya, acha (jambo hilo)".
Tofauti ya binadamu na wanyama wengine ni akili. Ni tunu kubwa. Tutumie akili na tuache kukaanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.