Recent content by Upwiru

  1. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Pole mkuu. Nawewe unapitia changamoto hii?
  2. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Nimekupata mkuu na nashukuru sana.
  3. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Nimekupata mkuu na nashukuru sana.
  4. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Naomba unishauri kuhusu meditation. Hii ikoje na naweza kuifanyaje?
  5. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Nashukuru kwa maoni na ushauri wako mkuu...Ila pengine unachokiongelea hukielewi kwa sababu huenda wewe ni mwanamke (Samahani kama utakuwa mwanamme). Lakini kwa mwanamme najua atakuwa ananielewa na anajua how it feels kuwa katika situation hiyo. Huwezi kujikubali ukiwa katika hali hii. Kumwaga...
  6. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Sijawahi kuota ndoto ya aina hiyo. Ndoto ninazoota ni zile najikuta tu nimekaa na demu ninayemfahamu halafu katika kumshika shika napata hisia namwaga na mara nyingi nashtuka nikiwa napizi. Yaani ile pizi iliyosababishwa na ndoto nakuwa nai feel physically nikiwa na ufahamu wangu. So huwa ni...
  7. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Nimeenda si chini ya mara moja....Mara ya mwisho nakumbuka nilipewa dozi ya kucontrol kile wanaita hormonal imbalance. Dozi ilikuwa ya mwezi mmoja.
  8. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Nashukuru sana Mkuu...Nashukuru sana
  9. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Asante sana ndugu yangu kwa kuyahisi maumvi yangu. Bahati mbaya huo mtulatula siufahamu. Pengine naufahamu kwa jina jingine na nitashukuru ukinifafanulia zaidi au hata picha.
  10. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Asante mkuu kwa ushauri wako. Ila kiukweli kabisa mimi ni mtu wa mazoezi sana. Kuhusu kuiona mbusus ya kawaida naiona sana kwasababu nimeshakuwa na wanawake wengi kwa mara nyingi. Sina presha ya mbususu wala kimuhemuhe na kuhusu maji mimi kama mtu wa mazoeazi natumia sana. Ila sielewi shida ni...
  11. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Nimeenda na si chini ya mara moja
  12. U

    Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

    Salaam wakuu Hii ni stori yangu ya kweli kuhusu jambo linalonitesa na kuniumiza kwa muda wa mrefu sasa. Nitaweka kila kitu wazi katika angle zote ili niweze kupata msaada. Tafadhali sana, naomba kwa yeyote atakayeweza kunipa mawazo ya kunisaidia asisite kufanya hivyo. Natanguliza shukrani zangu...
Back
Top Bottom