Azaki amesema Viongozi wakuu wa chama cha CHADEMA wamekuwa wakikosolewa mara kwa mara kwa kuendesha harakati zao kwa misingi ya tamaa ya madaraka na ubinafsi badala ya masilahi mapana ya taifa.
Wakosoaji wengi wanabainisha kuwa maamuzi mengi ya kimkakati ndani ya chama hicho, ikiwa ni pamoja...
Nimekutana na hii video Insta wanasema, "wanachadema haujawapatia majibu ya million 900 zilipoenda kwa ujasiri Unakuja mbele za watu eti unaomba mil 30 kwaajili yako zikupe motisha, motisha gani akati umeshawaibia wanachadema mil 900 na hutaki kusema zilipo
Kwa tunavokufahamu wewe ingekua sio...
Nimekutana na huu ujumbe Facebook je, kinachozungumzwa ni cha kweli?
Kucheka si tu ishara ya furaha — ni tiba ya mwili na akili pia! Tafiti mbalimbali zinaonesha kuwa kucheka husaidia kupunguza msongo wa mawazo (stress), huimarisha kinga ya mwili, na hata kuboresha afya ya moyo.
Wanasayansi...
Wakuu nimekutana na hili jambo huko mtandaoni, na mimi pia nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda mrefu naomba mtusaidie. "Naomba kuuliza wadau,,wachezaji na wanamitindo kukaa katika maji ya barafu husaidia nini?"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.