Ndugu LEMA ninakubaliana na wewe kwa %100 na mm nina amini kama chama wataendelea kumngangania zitto kabwe ikulu watazidi kuiona kwenye tv na kuisikia kwenye radio
China ni nchi ya pili kwa uchumi imara dunia rais wake analipwa tsh 60m kwa mwaka,Tanzania hipo kwenye kumi bora ya nchi maskini dunia rais wake analipwa tsh 384m kwa mwaka,kipindi kiingine tafakari kwanza kabla ya kutete ujiga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.