Hii ni mada nzito ya Ibada zenye kusababisha kelele. Twapaswa kupeleka taarifa kwa Halmashauri za Manispaa, Miji na Wilaya ili zitungwe Sheria kudhibiti kelele ambazo zinaangukia katika uchafuzi wa mazingira. Kwa kweli kuna haja ya kuwa na Sheria mama kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
Ee Mwenyezi Mungu endelea kumbariki na kumlinda Mhe. Jerry Slaa, Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi kwa kazi kubwa ya kumsaidia kazi Rais wa JMT.
Asante sana kwa utendaji kazi uliotukuka katika kipindi kifupi tu baada ya kuteuliwa kuiongoza Wizara ya Ardhi.
Mfano hai ni Mama mjane wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.