umeweza kama mimi: kingine hiyo hela wanayopewa na CCP itabidi kuigawanya kidogo inaenda kwa machawa na kidogo inanunua kofia na t-shirt apo bado hawajanunua wapinzani baadae tunaelewana tu. Alafu wakumbushe SGR ya Mwanza to Isaka haijakamilika na wakati mkataba unasainiwa ilikuwa ndani ya miezi...
kwani nilivyosema ni uongo tena jamaa hata Trump alivyowatusi waafrika kwa kufananisha na shimo la choo jamaa alikuwa anakazia kabisa tena alikuwa anamalizia na US baby"
usikchokijua huyu jamaa ana chuki zake binafsi na Trump miaka ya nyuma alikuwa akiishi huko so baada ya Trump kurudi awamu hii na akaja sera juu ya wahamiaji nahisi jamaa ni miongoni mwao waathirika. Kwani miaka hiyo ni nilikuwa nasoma tu jamiiforum bila akaunti jamaa alikua humwambii kitu...
Lakini wakumbuke USA na Israel wanaweza figsu za vita pengine hakuna taifa lilowakaribia. Hata humu nishawahi sema wakati wa vita na Iraq wanajeshi wa sadam walianza kujificha nyuma ya raia na wakati mwingine kuvaa nguo za kiraia. basi walichokifanya USA walikuwa wanatumia silaha moja matata...
unazungumzia putin huyu aliyekuwa kila mara wanashambulia vituo vya umeme vya Ukraine mpaka waturuki wanapeleka meli mbili kwa ajili ya kuzalisha umeme au kuna putin mwingine
huwa wanajisahaulisha wakati siku zote Iran wamekuwa wakisema hadharani kisa watafuta Israel. hata humu wengi wa proiran wamekuwa na kauli hiyo eti leo Iran iko selective kwa Israel
duh jamaa sijui wanatumia silaha gani hizi kwa kweli jamaa wanatisha sana nimeona video ya shambulizi la leo huko isfahan ila Mmarekani achana naye kabisa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.