Recent content by UpendoUkweli

  1. U

    JamiiForums Tanzania Zari afanya kufuru kwa pesa za Ivan

    Diamond knows Zari loves her so much so hata akiandika kammiss Don sijui she's out at night haimpi shida. Zari naye anaona akimwacha Diamond anawaachia watu wanaomchukia wamu-enjoy baba wa watoto wake. Bora Zari amwache Diamond, atahangaika tu na mademu wapenda pesa lakini hawezi kupata mtu...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mange Kimambi anawachukia Diamond Platnumz na Zarina Hassan?

    Mi nampenda Mange pia Ila hapo ndo simuelewi. Sioni Sababu kubwa ya kimchukia Diamond na Zari mpaka leo. Sawa Diamond and Wema wameachana, na Zari alimtusi Wema lakini hayo yote Wema amesamehe ila Mange ndo abaki na hasira?? Anajitesa bure tu.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Dereva wa Tundu Lissu, Dr. Mashinji, Watakiwa kuripoti Polisi, Magari 8 Nissan Patrol yakamatwa

    Watu wasichojua ni kwamba hilo eneo analokaa Lissu sio nyumba za wabunge tu ni makazi ya watu pia na hamna security kama watu wanavyodhania. Ni kama compound yenye nyumba nyingi za kupanga in one fence. Anyone can go in and out whenever they want. Pia, hayo makazi ni kama dakika kumi tu kutoka...
Back
Top Bottom