Recent content by untold servant

  1. U

    JamiiForums Tanzania Msaada : Nahitaji maiki na logo box

    Sijapanga bajeti maana sijui hata ya bei nafuu ni bei gani Sent using Jamii Forums mobile app
  2. U

    JamiiForums Tanzania Msaada : Nahitaji maiki na logo box

    Bei gani Sent using Jamii Forums mobile app
  3. U

    JamiiForums Tanzania Msaada : Nahitaji maiki na logo box

    Inaitwa logo box nafikiri nimechapia Sent using Jamii Forums mobile app
  4. U

    JamiiForums Tanzania Msaada : Nahitaji maiki na logo box

    Habari wanajukwaa kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo juu, nimefungua youtube channel ivo nahitaji kuitangaza brand yangu kwa kutumia maiki na kuiwekea logo naomba msaada jinsi ya kupata maiki na box logo. Nipata maeneo gani na gharama yake. Shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. U

    JamiiForums Tanzania Habari Zetu Wana Jf Naomba Mnisaidie Jinsi Yakuweka Ads

    Pitia katika link hii JINSI YA KUWEKA TANGAZO MNATO [STICKY ADS] KATIKA BLOG YAKO Sent using Jamii Forums mobile app
  6. U

    JamiiForums Tanzania Bloggers wote tukutane hapa

    Tumekuja vp kuna nini au serikali imeshakuja na jambo Jipya Kutuhusu Sent using Jamii Forums mobile app
  7. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Huu ni ugonjwa gani?

    As salaam aleikum wanajukwaa Mdogo wangu anasumbuliwa na vipele leo ni siku ya tatu usiku wa kuamkia leo hajalala hivo kutazama vimekuwa vikubwa kiasi tumejaribu kumkamua wametoka wadudu kila kipele kimoja kimetoa mdudu mmoja hili linaweza kuwa tatizo gani? Wadudu waliotoka ni mfano wa funza...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    250k Sent using Jamii Forums mobile app
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop kwa ajili ya kuendeshea blog, niandae bei gani?

    Kaka hiyo Mashine siiwezi kwa kipato changu shukran Sent using Jamii Forums mobile app
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop kwa ajili ya kuendeshea blog, niandae bei gani?

    Shukran wacha nijipange Sent using Jamii Forums mobile app
  11. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop kwa ajili ya kuendeshea blog, niandae bei gani?

    Shukran sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop kwa ajili ya kuendeshea blog, niandae bei gani?

    Shukran sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Bado ipo mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji laptop kwa ajili ya kuendeshea blog, niandae bei gani?

    Kama kichwa kinavyojielewa wanajukwaa nina blog yangu naiendesha kupitia simu sasa inakuwa ngumu baadhi ya vitu kuviset hivyo nahitaji laptop. Je niandae bei gani na laptop iwe na space zipi ili niweze kutumia japo na photoshop na after effect? Shukrani wandugu Sent using Jamii Forums mobile app
  15. U

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Bado lipo
Back
Top Bottom