Recent content by Unknown Unknown

  1. U

    Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

    Kwanza kabisa maduka mengi hasa ya mikoani sio ya kwake, anaingia ubia na watu wanatumia jina lake/brand yake kisha ye anachukua some percent. Pili Biashara skuiz ni ushindani, inahitaji quality na creativity ya hali ya juu, wafanyabiashara wengi skuiz wanaenda extra ikifika kwenye swala la...
  2. U

    Waganga wa kienyeji acheni utapeli

    Naomba connection mkuu, nina shida kubwa sana
  3. U

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Habari zenu wana JF. Nina shida, mama yangu amechanganyikiwa gafla, anasikia sauti na kuongea na watu ambao hatuwaoni, tumeshahangaika kila mahali, hospitali na makanisani bila mafanikio. Naomba mwenye connection ya mganga wa kweli kabisaa na sio mbabaishaji anisaidie. Yani nguli haswa.
Back
Top Bottom