Recent content by Unjubinunuk

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kwenda Msumbiji, Malawi au Zambia kufanya biashara. Naomba msaada wa mawazo

    Biashara ya nguo na / au viatu ndio nataka nifanye huko..
  2. U

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kwenda Msumbiji, Malawi au Zambia kufanya biashara. Naomba msaada wa mawazo

    Asante mkuu.. umeelezea vyema. Kuna points muhimu nimenukuu asante sana
  3. U

    JamiiForums Tanzania Nafikiria kwenda Msumbiji, Malawi au Zambia kufanya biashara. Naomba msaada wa mawazo

    Habari zenu tena wadau.. nafikiria kwenda katika nchi za jirani hapa kama Msumbiji, Malawi au Zambia. Yoyote mwenye uzoefu wa namna ya kufanya biashara katika nchi hizi anisaidie na connection hizo. Mtaji wangu ni mdogo lakini inavyoonekana kwa hizo nchi naweza kufanya jambo likaenda, naomba...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

    Japokuwa Kitimoto kwangu ni haramu.. asante kwa maoni yako.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

    Kwa siku unapataje??
  6. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

    Kwa kazi gani kaka.. tusaidiane hapa
  7. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

    Asante chief.. chips ila si mpaka upange eneo ulilipie kodi kabisa na vifaa vya kuanzia iyo shuguli
  8. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

    Wapi mkuu.. niambie hilo chimbo kaka
  9. U

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa biashara ya kuingiza 50,000 kwa siku

    Habari zenu wadau, Mtaji wangu ni milioni 3-4, naombeni ushauri wa biashara ya kuweza kuniingizia kiasi cha kuanzia elfu 30 mpaka elfu 50 kwa siku. Nina miaka 30, nipo Dar, jinsia Wa kiume. Natanguliza shukrani, karibuni kwa ushauri/maoni.
Back
Top Bottom