Recent content by University of Dodoma (UDOM)

  1. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Responded TAARIFA KWA UMMA: Ufafanuzi kuhusu madai ya ucheleweshwaji wa malipo ya Wanafunzi waliozidishiwa Ada

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu madai yaliyachapishwa katika mitandao wa kijamii hususani mtandao wa Jamii Forum kuhusu urejeshwaji wa fedha ya ada iliyozidi kwa baadhi ya wanafunzi baada ya kumaliza masomo. Chuo kinapenda kuufahamisha umma kuwa, kwa...
  2. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) turejesheeni malipo yetu ya Ada yaliyozidi, mnatuzungusha kila siku

    UFAFANUZI KUHUSU MADAI YA UCHELEWESHAJI WA MALIPO YA WANAFUNZI WALIOZIDISHA ADA Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu madai yaliyachapishwa katika mitandao wa kijamii hususani mtandao wa Jamii Forum kuhusu urejeshwaji wa fedha ya ada iliyozidi kwa baadhi ya...
  3. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania WATAFITI 15 WA UDOM WANG'ARA TUZO ZA KITAIFA, WATAMBULIWA KWA UCHAPICHAJI WA TAFITI KIMATAIFA

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuimarisha nafasi yake katika utafiti wa kitaaluma baada ya watafiti wake 15 kutambuliwa katika Tuzo za Utafiti za Kitaifa kwa kuchapisha matokeo ya tafiti zao katika majarida yenye hadhi ya juu kimataifa. Watafiti hao wa UDOM ni miongoni mwa washiriki...
  4. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM na wadau wajadili ukuaji wa akili unde katika muktadha wa Kiafrika

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa kushirikiana na Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela - (NM-AIST), kupitia Maabara ya Akili Unde Afrika - (AfriAI Lab) kwa udhamini wa Taasisi ya Wahandisi wa Umeme na Electroniki Tawi la Tanzania (Institute of Electrical & Electronics Engineers -...
  5. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Fursa Mpya UDOM 2026/2027

    Ndio anaweza, namshauri atembelee kiunganishi cha application.udom.ac.tz kwa msaada zaidi.
  6. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yatwaa Tuzo ya ITU kwa Ubunifu wa AI inayokabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeendelea kuipeperusha bendera ya Tanzania katika jukwaa la kimataifa, baada ya kutunukiwa cheti “AI for Good Innovate for Impact Winner” na Taasisi ya International Telecommunication Union (ITU) kupitia mpango wa AI for Good, kufuatia ubunifu wake unaotumia Akili...
  7. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Fursa Mpya UDOM 2026/2027

    UDOM imeongeza Programu 5 mpya za Shahada za Awali: ✅ Bachelor of Science in Medical Laboratory Sciences (BSc-MLS) ✅ Bachelor of Business with Education (BBE) ✅ Bachelor of Counselling Psychology (BCP) ✅ Bachelor of Science in Crop Production and Technology (BSc-CPT) ✅ Bachelor of Science in...
  8. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kwanza la maombi ya kujiunga na Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa mwaka wa masomo 2026/2027 limefunguliwa rasmi

    Je, uko tayari kuwekeza katika mustakabali wako? Hii ndiyo fursa yako ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), moja ya vyuo vikuu vikubwa na vinavyoongoza nchini Tanzania katika utoaji wa elimu bora, utafiti na ubunifu. UDOM inakukaribisha kutuma maombi ya kujiunga na programu mbalimbali za...
  9. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yaonyesha matokeo ya utafiti wa blockchain kuimarisha minyororo ya ugavi wa kilimo

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, kimefanya warsha ya kuwasilisha na kujadili matokeo ya mradi wa utafiti kuhusu matumizi ya teknolojia ya Blockchain katika kukuza ubunifu jumuishi na kuimarisha ufanisi wa minyororo ya ugavi wa kilimo nchini...
  10. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM na IUCEA zaimarisha ushirikiano katika mpango wa kimkakati wa ufadhili wa masomo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), leo tarehe 17 Juni 2026, kimepokea ujumbe kutoka Baraza la Vyuo Vikuu vya Afrika Mashariki (IUCEA) uliolenga kujadili ushirikiano katika utekelezaji wa Mpango wa Ufadhili wa Masomo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC Scholarship Programme). Ujumbe huo uliongozwa na...
  11. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania TEHAMA yatajwa nguzo ya mageuzi ya utumishi wa umma wakati UDOM ikishiriki wiki ya utumishi wa umma 2026

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kinashiriki katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yanayofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, kwa lengo la kutoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma mbalimbali zinazotolewa na chuo pamoja na kusikiliza na kutatua changamoto zinazowakabili...
  12. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Kutoka ipcc hadi Udom: Dkt. Chang’a aongoza majadiliano ya mustakabali wa tafiti za tabianchi Tanzania

    Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) na Makamu Mwenyekiti wa Jopo la Kimataifa la Sayansi ya Mabadiliko ya Tabianchi (IPCC), Dkt. Ladislaus Chang’a, tarehe 16 Juni 2026 ametembelea Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya TMA na Chuo hicho...
  13. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania KERO Tutorial Assistants wa School of Medicine and Dentistry wa UDOM tunafanyishwa kazi tofauti na tunazopaswa kufanya

    Menejimenti inasikitishwa sana kuona malalamiko ya aina hii kwa wafanyakazi tena wa Serikali ambao tungetegemea wangekuwa na maadili ya kiutumishi kwa kujua taratibu stahiki za kutoa malalamiko yao kama yapo, na wapi pa kuyasema malalamiko hayo, kwa kuwa taratibu ziko wazi na ndiyo maana wana...
  14. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya akili unde katika huduma za ultrasound kuboresha afya ya mama na mtoto

    Mwongozo wa matumizi ya teknolojia ya akili unde (Artificial Intelligence – AI) katika huduma za utra sound kwa afya ya mama na mtoto unatarajiwa kuwa suluhisho muhimu katika kuboresha ubora na upatikanaji wa huduma za afya nchini Tanzania. Mwongozo huo unaandaliwa kwa lengo la kuweka viwango...
  15. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania UDOM yajipanga kufundisha Kirusi, kufungua fursa mpya za elimu, ajira na ushirikiano wa kimataifa

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Prof. Lughano Kusiluka, amesema wameanza maandalizi ya kuanzisha mafunzo ya lugha ya Kirusi, hatua inayolenga kuunga mkono juhudi za Serikali za kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kati ya Tanzania na Urusi na kuwawezesha Watanzania kunufaika na fursa...
Back
Top Bottom