Recent content by Undule Lumuli

  1. U

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya wizara ya viwanda na biashara

    Habari wana Jamvi Leo nilipata wasaa wa kusikiliza Hoja ya Mh Selemani Jafo(Mb) Waziri wa Viwanda na Biashara ambapo Bunge limeidhinisha maombi ya shilingi Bilioni 135 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 Lakini kuna jambo limenishangaza sana Kwanza Mh alikuwa anachapia karibu Hotuba nzima yaani...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Maria Mtakatifu, Mama wa Mungu, utuombee sisi wakosefu

    Achana na Maria broh...utajikausha damu
  3. U

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii inayodaiwa ni watu walienda kwenye interview ya TRA

    Je picha hii ni halisi au sio halisi? Hawa watu ukiwaangalia vizuri sura zao kama zinafanana hasa wanaume, hata nguo walizovaa wengi zinafanana, na kikawaida mistari haiwezi kunyooka kiasi hiki
  4. U

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii inayodaiwa ni watu walienda kwenye interview ya TRA

    Je picha hii ni halisi au sio halisi? Hawa watu ukiwaangalia vizuri sura zao kama zinafanana hasa wanaume, hata nguo walizovaa wengi zinafanana, na kikawaida mistari haiwezi kunyooka kiasi hiki.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Soko la Majengo Dodoma na maswali ninayojiuliza

    Mnamo tarehe 3 Machi, katika pitapita zangu Mitaa ya Majengo nikiwa natoka kazini nilisikia Tangazo (PA) Kutoka ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuwa kuanzia tarehe 6 Machi wataanza ubomoaji wa Soko la Majengo na kuanza Ujenzi ambao utachukua miezi 12, hivyo baadhi ya Barabara zitafungwa ili kuruhusu...
  6. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wazabuni Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wapaziwe sauti

    Hapa Halmshauri kwetu (Rungwe ) Mkoa wa Mbeya kuna baadhi ya wananchi na wafanyabiashara wamekuwa wakitoa huduma ya Zabuni ya kulisha Shule za Sekondari za Serikali, Magereza na Chuo cha ufundi kwa muda mrefu, lakini kwa bahati mbaya PESA ZAO hawalipwi kwa wakati ama hawalipwi kabisa Wamekuwa...
Back
Top Bottom