Recent content by Undisputed

  1. U

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa Viettel kwenye interview

    Kijana nami nimeitwa but sms imefika nusu kama unaweza kunitumia ni PM plz. kwangu imeishia kwenye muda wa interview huko mbele ni incomplete
  2. U

    JamiiForums Tanzania Call for interview Tanesco - hro trainee

    Asante Joh! nimewapigia leo asubuhi, wamepokea na tumemalizana nao! Asanteni wote kwa ushauri, Next time nitakuwa makini zaidi
  3. U

    JamiiForums Tanzania Call for interview Tanesco - hro trainee

    true dat
  4. U

    JamiiForums Tanzania Call for interview Tanesco - hro trainee

    Thanks bro! nitafanya hivyo #masterkey
  5. U

    JamiiForums Tanzania Call for interview Tanesco - hro trainee

    Thanks bro! 4 your advice
  6. U

    JamiiForums Tanzania Call for interview Tanesco - hro trainee

    Wanajamvi nilifanya written intrv tarehe 23 May pale chuo cha Tanesco city centre, na leo mida ya saa kumi na nusu wakati nipo mazoezini nimepigiwa simu kuwa nahitajika kwenye written interview nyingine itakayofanyika Tanesco Mikocheni. Tatizo ni kwamba nimesahau siku kwani nilikuwa nakimbia...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Usili wa kilimo daraja la pili

    Andika jina lote lukiko ukiandika halitokei hebu andika lote tukusaidie just now
  8. U

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji waongeza majina 58 wakaguzi wasaidizi,kulikoni?

    37 Kombo Bakari Zabibu M 38 Justina Steven Monge F 39 Kombo B. Zabibu M Si wamesingizia majina yamejirudia, watoe tena mtu mwengine ajaze nafasi kwani hapa kuna uhuni unafanyika, Kombo B. Zabibu na Kombo B. Zabibu
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ni muda gani...waajiri hutumia kuita watu kazini baada ya watu kumaliza kufanya interview ya kazi

    Inategemea na uhitaji wengine wanakaa hata miezi mitatu then ndo wanaita!
  10. U

    JamiiForums Tanzania Nani anaifahamu hii namba?

    jaribu hili wazo la jamaa hope it will work out
  11. U

    JamiiForums Tanzania RTI International - M&E Assistants

    Mi pia niliomba inawezekana ni kweli wameanza kuitwa na tumekosa wameitwa wengine!
  12. U

    JamiiForums Tanzania Zimamoto update

    Walikuwepo wajawazito na tayari wakubwa wameshaweka watu wao. nimejaribu kufukuzia hizo chance "nimeambulia za uso"
  13. U

    JamiiForums Tanzania Usaili Tanzania Postal Bank(TPB)

    email zilifika ndugu zngu mi mwenyewe imetokea mara nyingi natuma emeil sehem zinagoma then nakuta nimekuwashortlisted. we nenda kapige interview hayo mengine utajua hukohuko
  14. U

    JamiiForums Tanzania Nina Utata Dhidi ya Vietel Tanzania Company

    wnaweza wakawa wezi kweli! but nimejaribu kuitafuta hiyo vietel ya vietnam nayo pia wanatumia gmail katika kuomba kazi sijui kwann but ndo hivyo! atakayekubali kuibiwa na hawa jamaa atakuwa amejitakia kwani tahadhar imeshatolewa
  15. U

    JamiiForums Tanzania Updates za Railway Children

    Tusife moyo tutapata tu wadau na tutakuwa ushuhuda kwa wengine, hakuna mtihani mgumu kama UVUMILIVU
Back
Top Bottom