1.Simu inaita,unaacha kazi/kikao unapokea kumbe ni tangazo la huduma zao.
2.Unapiga simu inaanza kuongea maneno kibao,halafu "namba unayopiga haipatikani
3. Ukiweka salio utapata mara mbili kumbe ni uwongo/wizi mtupu.
4.Ikifika jioni saa kumi na moja mpaka saa nne usiku, gharama ni zaidi ya Sh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.