HADITHI YA UUMBAJI YA UGNOSTIKI
➖Mojawapo ya mambo yaliyoweka ugnostiki tofauti na aina nyingine za Ukristo wa hivi karibuni ni kuhusiana na Hadithi yao ya kushangaza ya uumbaji ni tafsiri ya Hadithi ya uumbaji ya kitabu cha mwanzo ambayo kiukweli imeyageuza maandiko hayo ya Agano la kale...
Hizi ni hadithi za kijinga na za kitoto ambazo ziliandikwa kwa ustadi wa lugha ya kificho au alama hili kuhifadhi siri za sifa za kinajimu kulihusu anga na umbile lake mfano katika kifungu hiki mwandishi analiongelea jua tokea machweo yake na jinsi linavyopevuka mchana na kuwa nyota pekee...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.