Recent content by Uncle Reem

  1. Uncle Reem

    Digital content creators kuanza kulipa kodi

    Hawa content creators wa Bongo nao walizidi mdomo,kutwa kusema wanaingiza mamillion mtandaoni, matokeo yake Serikali nayo imedhani kweli kuna mamillion huko.
  2. Uncle Reem

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Naona makomando wanapiga sit-ups zakutosha hapa Uhuru,mara wengine wamebeba magogo,wamesema hawataki wasomi huko.
  3. Uncle Reem

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    wanajificha kwenye maua ya alizeti ama? maana camo yao siielewi
  4. Uncle Reem

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Zenji nao wanakitenge chao
  5. Uncle Reem

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Ukifika pale unasema "Mi baba kanituma" unaambiwa "Kamlete babaako hapa"
  6. Uncle Reem

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Naona Mwamba kashikilia Desert MDR. Bunduki nyepesii ila mapigo yake sasa.....🙌🙌🙌🙌
  7. Uncle Reem

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mi natabiri kuna bogi la Wasomi linakuja, tena hawa hata Jax haitohusika.
  8. Uncle Reem

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Hivi kama mtu hajatahiriwa haitaleta shida pale RTS?
  9. Uncle Reem

    Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    Mnakimbia tu bila sababu?
Back
Top Bottom