Watu wasiojitambua kumbe ni wengi naona itachukua miaka 30 ili kuja kizazi kingine kinachojielewa maana post zao za ovyo ovyo na hazina mantiki zimejaa majungu.
CCM na serikali yao wajue kila jambo lina mwisho wake na hii haitawafanya wapenda hali waogope naungana na maaskofu kukemea Tania hizi mbaya sana hii in dalili za kushindwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.