Pumbavu wewe una biashara gani ..?! Hiyo biashara unawauzia watu gani ..?! Unachagua ..?!
Muuwaji wewe bila shaka
Hakuna kosa walilofanya linalostahi adhabu ya kuuuwawa na wote mnaona
hii ni kawaida ninyi ni mashetani,
Ninyi ndio mnaotoa kafara mama zenu ili hizo biashara zenu uchwara...
Kundi kubwa la wakorofi..?! Ile ilikuwa ni vita ..?! Hivi unafahamu sheria za kushambulia binadamu kwa risasi..?!
Wewe ni muuwaji , mnateetea mauji milyoyafanya na madhambi yenu..
Na mwisho wenu uukaribu
Wewe ni muuwaji hauwezi kuwalaumu wauaji wenzio , hivyo basi ni lazima utafute vijisababu vya kuhalalisha mlichokifanya..! Pumbavu kabisa shetani mkubwa wewe
Hii video fikishwe kwenye vituo vyote Muhimu Samia na kikwete waondoke..!
Wengi wanamsahau kikwete ambaye ni the mastermind alianaza kufanya haya mambo kitambo na ni bingwa wa kuwaangushia wenzake jumba bovu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.