Act like an african husband ,si ni mke wako kabisa anachokutisha nini ?.Likely kuna biashara haramu (anauza share zako)
anafanya that`s why anakuwa mkali ,sijui hawa viumbe wameumbwaje jamani wanamatatizo mno ,pole sana mkuu
Mh huyo bado anamiliki share ,so cha msingi mwambie athibitishe kama hiyo SMS imetoka wrong source au la .
lakini pia hiyo ni ishara kuwa hilo gari unalotaka kupanda halina insurance ,japo mengine yanakuwa hayana lakini dereva anaweza kuzuga usijue
kwa kuwa dereva kakuonyesha mapema kuwa halina...
Dada unafaa ,hiyo approach uliyoitumia ni nzuri ,mwanamke mwenye hekima hujenga nyumba yake mwenyewe ,lakini mpumbavu huibomoa mwenyewe .A Good thing inawezekana pia tatizo lako hukushirikisha wengi maana kuna uwezekano mkubwa ungeshauriwa kwamba tafuta sehemu uanze kupata service ambayo...
Zidi kumuomba mungu katika kipindi hiki kigumu ,hakika yeye analojibu jibu juu ya haya yanayokusibu :Yeye hashindwi
na kitu ,ushauri utapata mwingi sana toka kwa watu:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.