Siku za hivi karibuni, kumekuwa kunajitokeza vijana Watanzania, nje ya nchi, ambao hakuna wanachokifanya huko, zaidi ya kuichafua serikali yetu.
Mbaya zaidi, vijana hao, wanafanya kazi za kukusanya watu na vikundi ili waichafue serikali huku wakishirikiana na baadhi ya mataifa huko Ulaya kwa...