Recent content by UMOJA NI USHINDI

  1. U

    Kumbe CCM na Ikulu ndio inaratibu Tanzania kuwa nchi ya Kiislam

    Duh jamani masuala ya dini naomba tuyaweke pembeni, na tambua mtoa mada pindi waislamu wakileta hoja juu ya manyanyaso yao kutoka kwa wakristo hapa nchini msianze kulaumu na kutukana kwani uwezo wanao na nguvu pia, ila tatizo na hekima kubwa ya waislamu ni SUBIRA waliojaaliwa nayo. Ila...
  2. U

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Naomba mtambue kuwa chama chochote chenye kutaraji kuuungwa mkono na wananchi kwa njia ya maaandamo, ni dalili ya chama kilichoshindwa kushawishi wananchi kukusanyika kwa njia ya matangazo na naaamini kuwa lengo hasa la chama kuanza na maandamano na kisha kufanya mkutano ni kupata wafuasi wengi...
  3. U

    Yaliyojiri katika Maandamano na Mkutano wa Wapinzani Jijini Dar - Feb 10, 2013

    Naomba mtambue kuwa chama chochote chenye kutaraji kuuungwa mkono na wananchi kwa njia ya maaandamo, ni dalili ya chama kilichoshindwa kushawishi wananchi kukusanyika kwa njia ya matangazo na naaamini kuwa lengo hasa la chama kuanza na maandamano na kisha kufanya mkutano ni kupata wafuasi wengi...
  4. U

    Mahakama ya umma Chadema yatikisa Dar

    Kwani hyo Askofu nae ni kiongozi wa CHADEMA? maana naona mtoa mada amemwingiza kwenye mada ya CDM, hay kupanga ni kuchagua naona anawakilisha mawazo ya viongoz wengne wa kanisa, Eeeeh Mungu nijalie unipe uhai mpaka 2015 nishuhudie ya kushuhudia na kuona ya kuyaona. UMOJA NI USHINDI
  5. U

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Nawashangaaa saaaana mnaomtetea Dr Slaa, bila kujibu hoja za Nape, kwani tatizo ni nini hasa? km Dr Slaa c mwanachama wa CCM yanini kuwa na kadi ya CCM?, na kama ndio hvyo kwa nini ahimize wananchi warudishe kadi za CCM na yeye aliyonayo kudai ni KUMBUKUMBU, kwa nini basi asiwaambie na wananchi...
  6. U

    Tundu Lissu ana deni kubwa jimboni, achukue tahadhari!

    "KUPANGA NI KUCHAGUA" Lissu alipanga na kuahidi uchimbaji wa visima ila amechagua kutotrkeleza ahadi hzo, haya 2015 siyo mbali Wanasingida Mashariki watamhukum kwenye sanduku la kura. UMOJA NI USHINDI
  7. U

    Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

    Kwa hili Dr slaa lazima wanachama watiiiifu wa chadema wambane na hatua kali zidi yaje zuchukuliwe kwani kwa kiongoz km yy kumiliki kadi ya CCM ni unafik mkubwa kwa viongozi na wanachama wenzake wa Chadema, na IMANI YANGU ni kuwa lazima MBOWE km m/kiti atahakikisha nidham ndani ya chama inadumu...
Back
Top Bottom