Recent content by Uliho

  1. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni nyakati za kufanya maamuzi haya?

    Katika historia mwanadamu Kila kipindi cha wakati ni muhimu kufanya maamuzi sahihi, kama unataka uwe sahihi zaidi unaweza kuomba ushauri Kwa watu sahihi ili kufikia utimamu Kwa Asilimia kubwa katika usahihi wako, unapokosea lazima wakati ukuhumu na utabaki na hatia au uharibifu wa wakati...
  2. U

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu achaguliwa kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti IDU akiwa gerezani

    Kwanza nis Mimi ni ccm, lakini kusema ukweli sisi wenyewe ndio tumemupaisha lisu Kwa kumweka ndani, tungemuacha akandelea kufanya mikutano yake na kuzurula nchi nzima na sisi tungeanza mikutano yetu ya kampeni baadaye na ushawishi wa wasanii mikutano yetu ingekuwa nyomi na Kwa kazi za mama...
  3. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Afisa Elimu wilaya ya Sikonge (msingi) anakula rushwa, pia anatumia madaraka yake kukandamiza wengine

    Sikonge Tabora, Kila tuhuma itafanyiwa kazi serikali ipo
Back
Top Bottom