JE! HOJA HIZI ZILIJIFICHA KATIKA MJADALA WA MUUNDO WA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA
RASIMU YA KATIBA MPYA?
ulangasimba@yahoo.com
Nimesoma na kusikia na baadae kuisoma kwa makini rasimu ya katiba mpya na kuona kuwa kuna hoja ambazo zimejificha, ambazo kama zikiwekwa wazi, zinaweza kutoa ufumbuzi...