[emoji16][emoji16] Ndugu hebu tafakari hili apa kidoogo Kama mfano tu japo kuwa si kana kwamba ndivyo ilivyo.
Hebu tuchukulie nchi yetu Tanzania,
Ndani ya nchi yetu ya Tanzania Pana Rais ambaye ndiye mwisho wa yote na ndiye anaye uunda uongozi kifupi serikali, na ndiyo mfumo unao endesha maisha...
Unacho kisema wewe ni sahihi kwangu kifikra, kwa maana hata ukifuatilia historia tu ya nchi ya Tanzania watanzania asilimia wote si wazawa wa Tanzania,
Mfano upatikanaji wa lugha ya kiswahili ni watu toka mbaaali ndiyo walio unda lugha kiswahili
Hii inamaana kwamba zamani tulikuwa na maisha...
Kiukweli kwa neema yake Mwenyezi Mungu, Si kana kwamba waafrika tulikuwa hatumuabudu Mungu wa kweli laah hasha, Jinsi tulivyo kuwa tukimuabudu ni kupitia Dini zetu wenyewe tulizo kuwa nazo [emoji16][emoji16][emoji16] hapa nahisi huto nielewa kidogo Ila Mungu ni mwema, ok iko hivi chochote...
NDUGU ZANGU ILI UENDE SAWA NA KUELEWA SWALA HILI KWANZA TUNATAKIWA KUJIFAHAMU NA TUELEWE MTU AMEUMBWAJE? FORMAT YAKE IKOJE? ROHO, NAFSI, MTU, MWILI WA MTU, NAKADHALIKA NI NINI?, KWA KUDOKEZEA MFANO UPO, BWANA YESU ALIUVAA MWILI hii ni wazi kabisa kwa kuwa nasisi ni sura na mfano wa Mungu iko...
Umeongea vyema ndugu, moja kwa moja nikitafakari vyema neno lako napata picha watu wote wenye Mwili maisha yetu hayaanziii hapa Wala haya kuanzia hapa na Wala haya ishiii hapa na Wala hatuishi hapa.
Usichukulie mambo kirahisi namna hiyo hatuko hapa Duniani kuleta mzaha, nakwambia hata wewe leo ukianza kusimamia katika kueleza watu wa Dunia hii ukweli unauawa amini usi amini.
Wengi wetu huwa tuna chukulia Hivi ili Mtu awe Mtu ni Mwili lah hasha Mtu ni Mtu na Mwili ni Mwili, Miili yetu ndiyo ina rangi tofauti ila format ya Mtu ni sawa kwa wote tuliopo Dunia hii
Mkuu Vipi hiyo nguvu iliyo sababisha Dunia na vyote vilivyomo ilitokea katika Mpangilio gani yani je ya muonekano? Je ya sauti? Je yakuto onekana na sauti yake? Je ya kuonekana pamoja na sauti yake? NIFAFA NULIE NIELEWE
Unajua kaka, neno la Bwana yesu ni lenye maana iliyo jificha ambalo neno hilo ukilishika ukalileta kwenye mfumo wa maisha thabiti, tunayo ishi Lina kuwa na nguvu kubwa sana kwa kujua na kuelewa au kwa neema tu utaona kabisaa unaishi kirahisi na furaha tele.
Bwana yesu jibu lake si kumaanisha ya...
Ukitaka kufahamu hili hebu tujiulize hili nikikushika mkono sasahivi kwa mguso ule utasema umenishika mkono wangu, nikikushika mguu utasema mguu wangu, nikikushika kichwa utasema kichwa changu, tumbo langu kiuno changu, sasa nikuulize Hivi mkono ni mkono wako kichwa ni kichwa chako kiuno ni...
Ndugu je waweza kunambia hiyo nguvu sababu yake ni nini? Yaani hiyo nguvu iliyo na inayo endelea kusababisha mpaka wasema magimba mengine hayaonekani je Nguvu hiyo sababu yake ni nini? Kipi kina sababisha nguvu hiyo iwepo mpaka utambuzi ukakuijia yakua ni nguvu tu pekee. Tufafanulie ndugu
Ndugu waweza kunifafanulia nini maana ya Mwili wa Mwanaadamu Kama ulivyo sema? Nikiwa na maana ya Mwili wa Mwanaadamu ni nini maana yake na Mwanaadamu ni nini maana yake?
Umesema Mwili wa, ina maana Mwili si Mwanaadamu. Kwa maana hiyo Mwili ni Mwili na Mwanaadamu ni Mwanaadamu NIFAFANULIE MAANA YAKE
Usemacho ni sahihi Kama ukianza kwa kujijua na kujielewa haswaa wewe ni nani? umetoka wapi? Na ni kwanini? Umekuja mpaka hapa ulipo kwanini?, Tukielewa haya mwisho tutafahamu tunaelekea wapi baada ya kujua tunaelekea wapi ndiyo maisha yanaanza hapo kwenye umekuja mpaka hapa ulipo kwanini? Na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.