Recent content by Ukubwa

  1. Ukubwa

    JamiiForums Tanzania Kuna aliyewahi kupata kazi au kuitwa kwenye usaili kupitia Brighter Monday?

    asante kwa ufafanuzi
  2. Ukubwa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Recruitment portal ya sekretarieti ya ajira inasema sina vigezo wakati nilishawahi omba kazi zingine hapo awali

    Hii ni system kuna wakati inazingua tu kwa sababu za kimfumo ila ukijaribu baadae inakubali
  3. Ukubwa

    JamiiForums Tanzania TANAPA wamefikia wapi ajira zao?

    du aisee
  4. Ukubwa

    JamiiForums Tanzania TANAPA wamefikia wapi ajira zao?

    hivi inawezeakana kwamba wameshaita kimyakimya?
  5. Ukubwa

    JamiiForums Tanzania TANAPA wamefikia wapi ajira zao?

    habari wana jamvi ni takriban miezi zaidi minne toka tanapa watangaze ajira na kuita kwenye usaili kada moja ya 'park rangers' nafasi zingine bado nimeleta kwenu kujua endapo kuna yeyote aliyeitwa kwenye nafasi zingine na kama kuna taratibu zingine zinaendelea
Back
Top Bottom