Unasema ni fake haya dereva wake pia kasema walilala kwenye gari.mimi nadhani wewe ndio unatakiwa kushitakiwa maana tayari msg tunayo na number ni yake ya private
Wagombea wangekosa mtu wa kuwashika mkono na kuwanadi na wakati huo huo mkakati wa kugawa kura uko pale pale ili ccm ishinde lakini naona kama wametwanga maji kwenye kinu
Hawana jipya vita inaendelea hata wakitoka nguvu ni kwa wapiga kura sio viongozi.
Sasa inakuwaje kiongozi mpinzani ahamie ccm hapo nu mchezo ulikuwa unafanyika Wasira ni hatari kama ukoma
Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea kisiasa na sasa nimegudua ACT ni chama kinachoivuruga CDM kwa mtaji wa CCM maana sasa wale wategemewa wa cdm wakishidwa kura za maoni wanashidwa kuvumilia.
Hapa jimbo la Ukonga leo Nixon Tugara Amehamia rasmi ACT na atagombea ubunge jimbo la Ukonga...
Kuna mijitu mingine haiwazi na ni mijitu mizima eti bila ccm ungekuwa jf.
Hebu jiulize Dunia nzima ni ccm tu mbona wenzetu maisha ni mazuri kuliko cc usibweteke na fikra za kizee.
Ungekuwa na umribwa kuanzia miaka 60 ningekubali hoja yako maana akili imechoka lakini kwa mwandiko wako najua hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.