Mbunge wa Jimbo la Serengeti Mkoani Mara kupitia CHADEMA Mhe.Marwa Ryoba Chacha, leo Tarehe 17/12/2015 kuanzia Saa 8:00 Mchana hadi Saa 12:00 Jioni, atafanya Mkutano wa hadhara wa kuwashukuru Wananchi, kupokea Kero/Malalamiko yao na kuwaeleza Dira na Mipango yake ya kuwaletea Maendeleo ndani ya...
1:Matokeo ya Uchaguzi Mkuu wa 2010. 2:Kata iliyo chini ya Chama Mshirika wa UKAWA (Chama Mshirika wa UKAWA kinachotawala katika Kata husika, Chama hicho kinaachiwa kuweka Mgombea wa kuitetea Kata hiyo). 3:Idadi ya Kura ambazo Vyama washirika wa UKAWA vilipata katika Uchaguzi 2010 ikiwa Kata hiyo...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KATIKA HILI MMEKOSEA SANA YANAHITAJIKA MAREKEBISHO MAPEMA
Wakuu,
naamini sote humu ndani tunakumbuka kuwa TUME ya Taifa ya Uchaguzi itaanza Zoezi la KUANDIKISHA Wapigakura kesho Jumanne Tarehe 16/06/2015 kuanzia Saa 2:00 asubuhi kwa Mikoa ya Manyara, Kilimanjaro...
TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI
KATIKA HILI MMEKOSEA SANA
YANAHITAJIKA MAREKEBISHO
MAPEMA
Wakuu,
naamini sote humu ndani tunakumbuka kuwa TUME ya Taifa ya Uchaguzi itaanza Zoezi la KUANDIKISHA Wapigakura kesho Jumanne Tarehe 16/06/2015 kuanzia Saa 2:00 asubuhi kwa Mikoa ya...
KATIKA HAYA VIONGOZI WA
-------- HALMASHAURI YA
---- WILAYA YA SERENGETI
------------ MNAHUSIKA
UTANGULIZI:
Wahe.Viongozi wa
Chama changu na Serikali,
Awali ya yote nimshukuru sana
Mwenyezi Mungu na mwingi wa Rehma aliyenijalia kuiona Siku hii muhimu ya leo.
Niwashukuru sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.