issue ya richmond bhana design kama haina ushahidi hivi vinginevyo wakubwa walishirikiana kupiga hata wakina mwakyembe wanaropokaropoka tu nao hawtoi ushahidi wa kumpeleka mahakamani mimi naamini kwa siasa za mwaka huu kama kweli lowasa alipiga hela pekeake na alivyo hamia...
shirika la nyumba nalo liangaliwe upya ni mabingwa wa kuanzisha miradi isiyofikia malengo na ya kupeana peana tu,ulisha wahi kujiuliza kweli maradi ya nyumba za bei nafuu (wenye kipato cha chini) 35ml?,hivi wanawajua watu wenye kipato cha chini...
jamaa atakua kaelewa,watu walizoea kupiga hela wanapoona jpm anaziba mirija lazima wataharuki na kuanza kutafuta upinzani tkt social network ili ionekane watu wanapinga na sisi tunawashona ipasavyo tena wengine wana madeni bank.
mtoa mada nae ni jipu anatakiwa kukamuliwa tena usikute ni mtu maarufu na mkwepa kodi mkubwa zama za namna hio zimeisha sasa ni kazi tu,haiwezekani ukaruhusu watu wasilipe kodi ipasavyo kwa kigezo cha ubilionea huu ni upuuzi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.