Recent content by ukasira

  1. U

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze: Msichana pekee wa kikristo katika wale waliotekwa na Bokho haram agoma kuikana imani yake

    Hizi habari za Bokoharam,ni za kutengenezwa,hakuna ukweli wowote. 1:Hawa bokoharam,watoke kijijini,mpaka mjini na kundi la watoto,waliowateka,bila kukutana na jeshi wala polisi,na kikamatwa. 2:Hawa watoto wameletwa mjini bila,kufunikwa uso,kwa nini vyombo husika wasielekezwe na hawa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Vigogo wawili dawa za kulevya kupandishwa kizimbani

    Sio waarabu ni wahindi mchanganyiko,half cast,ukiowaona utafikiri ni waarabu.
  3. U

    JamiiForums Tanzania Vigogo wawili dawa za kulevya kupandishwa kizimbani

    Hawa sio waarabu ni wahindi,wahindi mchanganyiko,ukiwaona utafikiri ni waarabu.Mwarabu sio rahisi kukumkuta biashara hii.
  4. U

    JamiiForums Tanzania Vigogo wawili dawa za kulevya kupandishwa kizimbani

    Pakistani sio waarabu,sio wamanga,ni wahindi.Jitahidini kuelewa mataifa mbali mbali duniani.
  5. U

    JamiiForums Tanzania Je, ni halali kupokea misaada ya nyama ya kafara toka uarabuni?

    Hawa wanyama wananunuliwa huku huku,kule wenda chinjwa tu,ni fursa nzuri kibiashara,msikose wafugaji biashara,wakakosa pesa.
  6. U

    JamiiForums Tanzania Je, adhana na kengele bado vinahitajika tena kuitana misikitini na makanisani kusali?

    Mtu wa kuja utamjuwa tu.Mwenyeji akiyezaliwa,na akakuta jambo lolote,ataona ni kawaida tu.Rudi porini.
  7. U

    JamiiForums Tanzania Dar: Sakata la Polisi kuuana wenyewe nje ya benki laacha sintofahamu

    Tatizo liko kwa benki zinazomiliki hizo ATM,kungewekwa utaratibu maalumu,muda na wakati maalumu wa kuweka pesa kwenye ATM,bila kuleta usumbufu wala madhara kwa watumiaji wa ATM na wapita njia. Kwa mfano katika ATM zinazotakiwa kuwekwa pesa,kwa mda wa dakika kumi,kabla ya kuwekwa...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza kuzitambua rasmi dawa tano za asili za kuongeza nguvu za kiume

    Tatizo ni wanawake wavae nguo za kujistri mwili,kujifunika miili yao.Kijana wa kiume toka anazaliwa,mpaka anakuwa ana ona maungo ya wasichana,barabarani,mitaani na sehemu mbali mbali za kijamii,na kuona ni njambo la kawaida.Kwa hiyo hata akiingia na msichana chumbani anaona ni jambo la...
  9. U

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Ajali yatokea, mabasi mawili na lori la mafuta yagongana

    Akitokea abiria mmoja kumkataza dereva,asindeshe ovyo,wengine watagombana na huyu abiria,watasema wanataka kuwahi.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mvua yaleta Maafa Tanga: Watu watano wapoteza maisha, daraja la Lukozi lakatika..

    Poleni sana,watu wa Lushoto.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo Madhara ya kiafya kwa binadamu yatokanayo na mbwa

    Chini wapi,tutizame?
  12. U

    JamiiForums Tanzania Fikiria kama mikoa yetu ya Tanzania ingekuwa Nchi

    Mbeya yote,imejaa omba omba.
Back
Top Bottom