Utalalama sana lakini huo ndio ukweli
Umesomesha mtoto Internationally school ada kwa mwaka milioni 6 mpka 15
Kwa mika minne tu million 22
Unashindwaje kulipa ada ya chuo million mbili kwa mwaka moja
Wengi hawajui hayo mkuu sisi tulio kulia ubungo maji na baadae maeneo ya mabibo hostel ndio tunaweza kusimlia
Wanafunzi walikua wanaogopwa hata mtaani mkisikia huyo mwanafunzi wa udsm munajua huyu mbabe
Nakumbuka wengi wengine saiz mawaziri ndio walio kuwa vinala wa migomo na maandamano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.