Recent content by uhaale

  1. uhaale

    JamiiForums Tanzania DAWASA, viongozi Saranga waweka mikakati uboreshaji wa huduma

    UFAFANUZI WA DAWASA... Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam kupitia Ofisi za DAWASA Ubungo imechukua jitihada za makusudi za kuboresha huduma maeneo ya King'ong'o katika Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam. Maboresho hayo ni pamoja na Kuboresha matoleo yanayo pokea maji...
  2. uhaale

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Tumeingia mtaani kuboresha huduma ya maji Mtaa wa King'ongo - Kimara

    June 24 ni kesho tupo hapa tunasubiri kwa hamu.
  3. uhaale

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Tanki kubwa la Maji Msumi waanza, DAWASA yapongezwa

    Vipi Kimara ndio mmeisahau kabisa?
  4. uhaale

    JamiiForums Tanzania RESOLVED KERO Shida Sugu ya Maji Kimara Michungwani

    Mpaka leo hii maji hatujapata, na tukiwasiliana na DAWASA hakuna majibu sahihi. Tunaomba waziri wa maji uingilie swala hili.
  5. uhaale

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Kama wiki tatu zilizopita nakumbuka kulikuwa na Askari Polisi sio CTpale Kivukoni, na walikuwa wanasimamia abiria wa Kimara kupanga foleni kupanda mabasi. Na ulikuwa ni utaratibu mzuri sana, wa kuwapa nafasi wenye mahitaji maalum kama wagonjwa na wazee.
  6. uhaale

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Kwa nini mmeondoa wale Askari Polisi waliokuwa wanasimamia utaratibu pale kituo cha Kivukoni?
  7. uhaale

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu embu jifunzeni kitu hapa kwa nilichokiona nikiwa safarini

    Mkuu kuna route ya west kilimanjaro, Tarakea to Dar?
  8. uhaale

    JamiiForums Tanzania DART yawasimamisha kazi Maafisa wa Mwendokasi walioshindwa kudhibiti vurugu zilizotokea Kituo cha Kivukoni

    Dakika 30? unabahati wewe, watu wanakaa masaa 2.
  9. uhaale

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa majina yangu kwenye vitambulisho umepelekea nishindwe kupata mafao yangu, nifanyeje?

    Ulimaliza vipi mkuu? tupe elimu kidogo.
  10. uhaale

    JamiiForums Tanzania Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    Dawa gani hiyo mkuu?
  11. uhaale

    JamiiForums Tanzania DART Special Thread: Tunaomba Maoni Ushauri, Malalamiko, Pongezi na Mapendekezo kuhusu Mabasi ya Mwendokasi

    Nasikia zinaongezwa daladala 15, kwenye njia ya DART kuna ukweli hapo?
  12. uhaale

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa majina yangu kwenye vitambulisho umepelekea nishindwe kupata mafao yangu, nifanyeje?

    Ulimaliza vipi mkuu, wengi tuna shida hiyo.
  13. uhaale

    JamiiForums Tanzania Utofauti wa majina yangu kwenye vitambulisho umepelekea nishindwe kupata mafao yangu, nifanyeje?

    Mkuu hebu tupe somo kwa sababu ni wengi wenye matatizo hayo.
Back
Top Bottom