hv we jamaa ni mzma kwel aiseee
zawadi si ndo yeye mwenyewe au unataka zawadi gani
au we jamaaaaaaaaa ni alele
tushakukosa aiseee aibu kubwa sana
hv una umri gani wewe yan kwa ilo suala hata watoto wa shule ya msingi hawawez kua kenge maji kama wewe
Kwel kuna watu wanapoteza masculinity zao kwa...
Mwanaume mmoja alikuwa akimpa ombaomba $1000 kila mwezi. Mwanaume huyo aliendelea na hali hiyo kwa kipindi fulani. Siku moja, alimpa ombaomba $750 pekee. Ombaomba alishangaa, lakini akajiambia, "$750 ni bora kuliko kutopata chochote." Kisha akaondoka.
Baada ya mwezi mmoja, mwanaume alimpa...
Mwanaume mmoja alikuwa akimpa ombaomba $1000 kila mwezi. Alifanya hivyo kwa muda fulani bila kukosa. Siku moja, alimpa ombaomba $750 pekee. Ombaomba alishangaa, lakini akajiambia, "$750 ni bora kuliko kutopata chochote," kisha akaondoka.
Baada ya mwezi mmoja, mwanaume alimpa ombaomba $500...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.