Mzito hii ndoto imenistua sana.
Mie sio mfuasi wa mambo ya kiganga na kishirikina, ila ninamini yapo. Baada ya kufuatilia kwa kina utoaji wako wa majawabu kwa wanajamii katika uzi huu, nikakata kauli nikutafute nipate muongozo wako wa mambo ninayofikiri yanahitaji mtu mjuzi kama wewe. Kabla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.