Acha fikra zisizo na msingi ww! Mbna unakuwa km una waza kwa ku2mia u2mbo, ww unafikir utaipata kwa kusubir miujiza! Nipo na wasiwasi maana ww si bure utakuwa kimzimu fulani cha hawa SIRIKALI! Nmeshakuambia nyamaza km huna ya msingi ya kueleza!
Ww una matatizo ya akili nini? Unafikiri leo hayakufanyika! Vijana acheni uoga, kesho Sector ya Elimu ya Juu katika wizara ya Elimu akiwamo Katibu wa wizara huska anapaswa kutujibia yale heslb wameshindwa kujibu! Danya nyamaza maana vijana km ww hakuna uelekeo na chochote unatuambia
Report kamili wameipata na barua zimesambazwa kwenye wizara huska, km ofisi ya waziri mkuu, waizara ya elimu, kesho mchakato unaendelea kama kawaida tu! Wizara ya Elimu pale, sector ya Elimu ya Juu!
Maana huwezi 2ambia budget haitoshi wakati mnagawana posho laki 3 kwa siku! Hii SIRIKALI HAKUNA KI2 INAFANYA, HII NDYO MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA AU BORA MAISHA KWA KILA MTANZANIA!
Ukiwa na akili za mbwa c unaweza kuandika 2 yale mawazo ya mbwa! Kuna wa2 wana akili za kuokota km za huyu jamaa anajiita Danya, mi nafikir unafanania kuitwa Dunya!
Huyu Danya ana waza km yupo kwenye shimo la choo! Waza kwa umakini ww, sio unawaza u2mbo halafu unaongea porojo, nina wasiwasi na elimu uliyo nayo wewe, itakuwa ni elimu ya madftar na haijakusaidia ki2 chochote, au unalaana ya bibi yako mzaa mama yako nini?! Maana hizo ndyo laana ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.