Ufanyaji wa mitihani kwa kutumia smartphone sasa ndio imekuwa fasheni ambapo hata wale wanafunzi wachache ambao walikuwa hawaamini katika cheating za mitihani sasa wamekata tamaa katika kutumia akili zao. Maana wenzao wanaotumia smartphone wanapata course work kubwa na GPA kubwa hivyo...
Naomba kuchukua nafasi hii kuwaomba radhi wananchi wote kwa ujumla waliokwazika na tukio la wanafunzi wa UDOM kwenda pale area D kumuomba Raisi mtarajiwa Mwamba wa Kaskazini, Laigwanani Edward "Moringe" Lowassa achukue fomu za uraisi kupitia chama chake. Hatukutarajia kama tukio lile litawakwaza...
Kiongozi shikamoo! yaani nilikuwa nimeishiwa bundle ikanibidi nijiunge kwaajili ya kukugongea 'like', wangekuwa wanaruhusu kugonga like mara 2 ningerudia, yaani wewe ndio great thinker kwelikweli, hawa wachumia tumbo wa dizain hii umewapatia sana. Yaani mtu mpaka maslahi yake yatishiwe na ccm...
Juzi wanafunzi wa UDOM waliobaki kwenye field katika college ya INFO (CIVE) wanaokula ujasi ya INFO waliwekewa sumu kwenye mpango ulioratibiwa na mzabuni anayeendesha cafeteria ya INFO.
Mchezo ulikuwa hivi: Baada ya kuona wakati huu wa likizo, mahudhurio ya wanafunzi kwenye cafeteria ya info...
Mkuu bethelehem hebu mjibu mdau hapojuu kuhusu zito, halafu suala la gesi harakati zimeishia wapi au ndio umeamua kujiunga nao baada ya kushindwa vita.
Tell them, we need maturity. This is a forum for discussion. These type of problems we are discussing, can only be solved through discussion and not strike, it's hard to mobilize students to boycott for lecturer's incompetence. But it's very easy to organize them for delay of boom. So, you...
Ndio maana nimesema hili tatizo ni kwa vyuo vyote starting na UDSM ambako ndio chuo cha mwanzo hivyo wakufunzi wengi wametokea huko. lazima system ya kuwapata ma-lecturer iwe reviewed.
you seem to be paranoid, Look here, Im using the fake ID, How on earth could you afford to level your judgement on me personally? direct your judgement on the presented materials. This is a dialogue, wake up! we are discussing problems pertaining our universities. UDOM is not maliciously...
Mkuu, this is just a discussion based on my empirical observation. It is not a judgement, if you have the other side of the story, you can put forward and we can share. If you think my attitude towards religious people is intolerable, try to stretch your mind a bit, afterall these religions have...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.