Recent content by UDENYE

  1. UDENYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi umekwisha, twende tukajenge Nchi kwa pamoja

    Tunamshukuru kwa dhati Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema na Mwingi wa Hekima, kwa kutuneemesha amani, utulivu na mafanikio katika uchaguzi uliomalizika hapa Tanzania. Ni kwa fadhila Zake pekee tumeona uchaguzi ukifanyika kwa amani, pamoja na changamoto za hapa na pale za lakini kiujumla...
  2. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Mkuu shusha jazba , labda kama una Mungu mwengine zaidi ya huyu Mungu mmoja wa Isaka na Yakobo, Mungu wa Ibrahim na huyuhuyu mungu wa Musa. 1. Maandiko yanasema aliumba kila kitu ikiwemo uovu na wema. Hata huyu alielaaniwa Lucifa a.k.a ibilisi pia kamuumba yeye mwenyewe. 2. Mungu mjuzi wa kila...
  3. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

    Mkuu wa kazi tunapoendea tutakulana nyama choma wenyewe kwa wenyewe. Njaaa imekuwa kali mkuu wa kazi, Mikasava haichuuziki tena hapa sokoni. 75% ya sisi watanganyika hatujaajiriwa , chakula cha leo inabidi kitafutwe leo. Sasa mkuu leo siku ya 3 hakuna kuchuuza wa kununua tunakula nini na...
  4. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Wholly unacceptable!!

    Upo sahihi mkuu, tangu tarehe 29 sijafanya biashara yangu ya kuchuuza mihogo hapa sokoni, akiba yangu yote imekwisha. Watoto na familia huko Kijijini wananiniangalia mimi ndio taita wao. Sasa hivi njaa ndio namuogopa zaidi kuliko yeyote. Sasa haya mauzauza yakiendelea kwa mfano miezi mitatu tu...
  5. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

    Mkuu uchaguzi umeshakwisha na mshindi ashatangazwa. Swala la jeshi kuchukua nchi katiba yetu inazuia na hata kimuundo utekelezaji wake ni mgumu kuliko unavyodhani. Vijana wa Gen- Z , na watanzania kwa sasa turudi kujenga nchi. Uchaguzi ushakwisha mpaka 2030. Walioshinda iwe somo la wapi...
  6. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Watanzania acheni kufanya makosa tuliyofanya sisi Wakenya

    Umeongea maneno mazima. Yote kwa yote Hongera mama Samia na walioshinda . Vijana wa Gen- Z , na watanzania mlioshindwa pia hongereni, mumetumia haki yenu ya kikatuba. Ila kwa sasa turudi kujenga nchi. Uchaguzi ushakwisha mpaka 2030 Mlioshinda iwe somo la wapi mliteleza na kutimbinganya...
  7. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    Hongera mama Samia . Vijana wa Gen- Z ,mumetumia hakibyenu ya kikatiba pamoja na mapungufu ya hapa na pale, lakini kwa sasa turudi kujenga nchi. Uchaguzi ushakwisha mpaka 2030. NB. Mlioshinda iwe somo la wapi mliteleza na kutimbinganya murekebishe. Wananchi ndio wenye nchi, muwasikilize...
  8. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Mkuu mambo haya yalishapangwa na mungu, ukitaka kushindana na mipango ya mungu utajichosha na kujipa majakamoyo. Uwezo, mipango, michakato na jitihada zetu sisi binaadamu haziwezi kushinda kadari ya mungu. Kikubwa tumshukuru mungu kwa kila hali. Hongera mama Samia na wote walioshinda kwa...
  9. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Wholly unacceptable!!

    Hongera mama Samia . Vijana wa Gen- Z , na watanzania hongereni lakini kwa sasa turudi kujenga nchi. Uchaguzi ushakwisha mpaka 2030. Mlioshinda iwe somo la wapi mliteleza na kutimbinganya murekebishe. Wananchi ndio wenye nchi, muwasikilize malalamiko yao. Wapinzani sio maadui, muwatoe magerezani...
  10. UDENYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi wa Urais Tanzania 2025: Samia Suluhu ashinda kwa 98%

    Hongera mama Samia . Vijana wa Gen- Z , sasa turudi kujenga nchi. Uchaguzi ushakwisha mpaka 2035. Mlioshinda iwe somo la wapi mliteleza na kutimbinganya murekebishe. Wananchi ndio wenye nchi, muwasikilize malalamiko yao. Wapinzani sio maadui, muwatoe magerezani na udwanzi wa kutekana ukome...
  11. UDENYE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ingependeza Rais Samia apumzike 2025

    Hao wanaume wote waliotawala takriban miaka khamsini wameleta maajabu gani? Heshimuni wanawake ni mama zenu waliowazaa, wana akili na maarifa sawa na wengine kuzidi wanaume. Mambo ya mila na tamaduni potofu za kumdharau na kumdodesha mwanamke zimepitwa na wakati. Kwa ushauri wangu Mama apindue...
  12. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Kwanini vyama vya siasa nchini havina succesion plan kutoka rika moja hadi rika jingine?

    (1) Ubinafsi (2) Kuchukia haki (3) Kupenda uwongo wa maneno na vitendo. (4) Kupenda rushwa. (5) Kupenda Dhulma
  13. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Tahadhali kwa wenye mamlaka: Watu wamekataa tamaa na hawaogopi tena risasi wala kukaa mahabusu au kwenda jela

    Watanganyika hawahawa au wengine? Kuandamana ni kujitoa muhanga kunakoendana sambamba na watu wenye sifa hizi zifuatazo: (1) Misimamo isiyoyumba, (2)Kupenda haki (3) Kuchukia kwa nadharia na vitendo ubanafsi. (4) Kuwa wakweli wa maneno na vitendo. Katika wadanganyika na wazinj takriban milioni...
  14. UDENYE

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Abdul aliniletea rushwa nyumbani kwangu nikamwambia "Shenzi, kahonge wanaohongeka"

    To become a Medical doctor or Engineer you need to have a good brain and good education, to become MWANASIASA you just need to be a good liar.
  15. UDENYE

    JamiiForums Tanzania Watumishi wengi wa umma ni wezi, vilaza, na wavivu waliojaa viburi

    Mkuu kila mahali , ofisi yoyote ya sirikali hali ni hiyohiyo. Nilenda NIDA pale nyuma ya Chang'ombe kituo cha Polisi, nikanyanyasika sana. Nakaenda Vizazi na vifo Mjini pale nusu nipoteze fahamu, uhamiaji kurasini mpaka huku posta ni hivyohivyo. Hasira na msongo niliopata nilipofika tu ughaibuni...
Back
Top Bottom