Recent content by Udakuzi

  1. U

    Wanawake wa Mitandaoni (Online Girls)

    Funguka zaidi, unamaanisha kuwa wengi wa unaokutana nao wametulia kuliko wale ambao hawajatulia? au ni una bahati tu ya kukutana na watu wazuri online?
  2. U

    Wanawake wa Mitandaoni (Online Girls)

    Habari za Asubuhi wadau wa MMU! Kutokana na maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano (teknohama) pamoja na utandawazi, inazidi kuwa rahisi sana kukutana na mtu wa aina yeyote yule unaemhitaji. Kwa wale ambao wanataka wapenzi, watu wa kufanya nao biashara, watu wa kubadililshana mawazo ya kidini...
  3. U

    Tanzia: Mama yangu mzazi ameaga dunia

    Pole sana kwa kufiwa na mama yako kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi na pia awape nguvu katika kipindi hiki kigumu sana. Amina
Back
Top Bottom