Recent content by Uchumi 360

  1. Uchumi 360

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE nimekuwa nikiyasema tokea Kitambo mkawa mnanipuuza Malaika Mimi. Na bado mtakoma

    Jamii forums inabidi itoe maswali ya kupima IQ kabla ya kuruhusu kufungua akaunti
  2. Uchumi 360

    JamiiForums Tanzania Baraka Zinazoumiza, na Laana Zinazojenga: Umezaliwa na Kipi Kinachokuletea Faraja? Na Kipi Kinakubebesha Huzuni?

    Baraka yangu asee ni Moyo wa forgiveness/kupotezea; kwa bahati mbaya ni laana pia maana hata nikifanya makosa roho ile ile ya kupotezea inafanya kazi
  3. Uchumi 360

    JamiiForums Tanzania Nilipotazama Documentary ya Kutisha Kuhusu Afrika, Nilianza Kujiuliza Maswali Mazito

    Usiku wa jana, nikiwa nimechoka baada ya siku ndefu, nilijikuta nikichagua video ya YouTube isiyotarajiwa. Ilikuwa ni documentary ya mazungumzo kati ya vijana wawili—moja wao akiwa kijana mwenye IQ ya zaidi ya 160, mwerevu sana. Maongezi yao yalihusu hatima ya ustaarabu wa dunia... na Afrika...
  4. Uchumi 360

    JamiiForums Tanzania Uchumi 360: Safari ya Kumwamsha Mtanzania Kutoka katika Usingizi wa Kiuchumi

    Makala ya utangulizi katika safu mpya ya JamiiForums Na: Mwandishi wa Uchumi 360 Je, tunaishi au tunapumulia tu? Hili ni swali gumu, lakini linastahili kuulizwa. Tunaamka kila asubuhi, tunatembea mitaani, tunanunua sukari yenye bei inayopanda kila wiki, tunalalamika kuhusu “maisha kuwa...
Back
Top Bottom