Habar zenu wanajamii mimi ni bint nilimaliza chuo mwaka juzi so ajira ilikuwa ngumu kupata maisha nimagumu saana ukizingatia nimesoma kwa tabu mno niliangaika biashara ndogondogo mpaka mtaji ukakua ikabidi mimi namamayangu tuanzishe biashara ya chakura mama yangu alikuwa yupo kwenye kikundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.