NA habari nilizozipata toka chini ya kapeti, ni kuwa haya magamba yana mpango katika maeneo ya hapa Mwanga ambayo kuna wajumbe wa Chadema wamechaguliwa, watakuwa wanaitisha vikao vya kijiji bila ya kuwapa taarifa, lengo ni kuwa vitimie vikao vitatu mfululizo bila mjumbe wa Chadema kushiriki...
Alafu na sisi waislamu bwana tuna shida sana, bado hatuna uelewa wa pamoja katika maswala yetu. Maana tunapoisema CCM imekataa, maana yake tunamuweka wapi mwenyekiti wa CCM, ambaye ni mwenzetu katika hili. Ni nini msimamo wake katika swala hili. Maana sijawahi hata siku moja kumsikia akionesha...
Habar wana JF, kwa kuwa sina mawasiliano ya karibu na kiongozi wetu makini na shujaa Mhe, Samwel Sitta, naomba mnijuze, hivi huyu mzee zile ndoto zake za kuingia ''Nyumba nyeupe'' bado zipo au zimeyeyuka, maana tangu baada ya bunge maalum la katiba simsikii tena katika vyombo vya habari kama...
Mkuu, mtu anapojibu maswali ki ufasaha, ni lazima awe anafanya na refelence, sio kuweka qualitative arguments peke yake. Mbona ameshindwa kutoa majibu fasaha juu ya upokeaji wa 1.6b (in relation na ethics za utumishi wa uma, sio kubwabwaja tu). Poleni sana.
Ilikuwa ni swala la muda tu, na sasa...
Jamaa ana jeuri huyu, tena kwa vyombo vyetu vilivyopo kisheria. Ina maana hapo kama PAC walitoa riport ya kipuuzi, hivyo basi hata CAG na takukuru wote nao ni wapuuzi. Lakini kwa jeuri hii, ni lazima kuna sehemu/mtu anayemtegemea
Huyu jamaa mbunge kwa kipindi chote hiki amekuwa akigawa ela cash, hadharani kwa mabalozi pamoja na wajumbe wa ccm wanaoshiriki katika mikutano yake wilaya nzima. Ni kweli, amekuwa na ela nyingi sana ambazo ni cash. Ndio cahama chetu hicho, hatuna jinsi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mhe. Diwani mmoja wa CCM hapa wilayani Mwanga akiwa na Mpambe wake ambaye pia anagombea uenyekiti wa mtaa kupitia CCM, jana usiku walijikuta katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na wananchi wenye hasira pale walipokuwa wakijaribu kuwarubuni wagombea wa upinzani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.