Recent content by ubongo ya nicky

  1. U

    JamiiForums Tanzania Uchawi: Hii ndio athari ya kutumia dawa ya kuona wachawi

    mkuu maelezo yako yapo partially eti huo mti unaurefu hauzidi mtoto wa miaka saba kama mtoto wa miaka7 ana gigantism ama dwarfism ni urefu gani hapo utalinganisha?fafanua.
  2. U

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    anaejiua karema sec mkoa katavi anijuze tafadhali,demu wangu kapangiwa huko aisee,
  3. U

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    jamani kongwa sec wako wapi jamani.
  4. U

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    ahsante kwa mchango wako mkuu GBM96
  5. U

  6. U

    Ni Kongwa Sec Au Shule Ipi Mkuu Unazungumzia?
  7. U

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Mkuu Naomba Msaada Wako Tafadhali, Naweza Nkahamia Hapo?Comb Yangu Ni P.C.B Nimepangiwa Kongwa Sec Nataka Nihame Aisee.
  8. U

    JamiiForums Tanzania MWANAFUNZI: Fahamu shule uliyopangiwa 2015

    Kuhama Shule Inawezekana? Na Ni Process Zipi Znafuatwa Ili Kufanikisha Kuhama? Msaada Tafadhali, Nimepangiwa Kongwa Sec P.C.B Yeyote Aliepangiwa Pale Anijulishe Tafadhali.
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nini cha kufanya kwa waliokosa nafasi za kujiunga Kidato cha Tano

    Mkuu Ahsante Sana, Kupitia Uzi Huu Nimepata Kitu Kikubwa Kumshauri Rfk Ang Aliyeachwa, Daa Yan Nimesota Nae Sana Ila Kaachwa Mwenzangu, Ubarikiwe Sana.
  10. U

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    mkuu malizia na uwata girls tafadhali
  11. U

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    sorry mkuu, ni uwata girls sec.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    cheki na wata girls sec mkuu.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    yeah! ahsante sana nimeona.
  14. U

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Majina ya Waliopangiwa kujiunga na Kidato cha Tano, Julai 2015

    ahsante sana mkuu, pia niangalizie wata girls secondary.
Back
Top Bottom