Huyu Judith wangu aliwahi kunisaliti akakamata ujauzito wa mwanaume mmoja wa Mwanza anayefahamika kwa jina la Ale. Akautoa kwa siri ila nikamshtukia. Hayo yote ni baada ya kuwa nipo masomoni ila baada ya kurudi nikamtwanga Talaka.
Je wewe na huyo Judith wako nini kilitokea?
Noo Mkuu! Hao bibi zetu mda mwngne wanafanya ivo pale Mama alipokuacha nyumbani kwa mlango wa nyuma na kaenda vwanja na ukaanza kulia chumban....atakufata na Atakupa ilo ucheze nalo hapo mpaka usingz!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.