Recent content by Tzjunior

  1. T

    JamiiForums Tanzania Radio Imani, Kwa Neema FM zafungiwa... Clouds FM yatozwa faini!

    Kiukweli serikali imeamua kuwatoa kafara Kwa NEEMA na CLOUDS Ingawa lengo lao ni kuwafungia Redio IMAAN ambayo imekuwa mwiba mkali sana kwa AMANI ya taifa hili. Ni wachochezi namba moja na damu inapo mwagika I THINK ni FARAJA kwao. Ingekuwa enzi hizo za utawala wa demokrasia wangekuwa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Natangaza kutonunua tena nyama ya ng'ombe kwenye butcher

    Mwenye hekima hana papala, kwani atakachotamka ni kwa tukio hili na vizazi vijavyo. Calm dwn
  3. T

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Ni kama masihara vile lakini mvua ndo imeshaanza kunyesha VITA VYA KIIMANI tofauti kabisa na hadhi ya mtanzania. Tunakoelekea ni kubaya zaidi, kwani Serikali yetu haija amua kuchukua maamuzi ya dhati.
Back
Top Bottom