Recent content by tz_investor

  1. T

    NSSF Kinondoni acheni usanii na uswahili

    Hivi wameshaacha uswahili hawa?? Na hili swala la miezi 6 wana-comply au ndio njoo kesho, njoo kesho kutwa?? BTW, nimesikia Ilala wako vizuri, hata approach na response kwa wateja wao ni nzuri sana. Hawa wa Kinondoni wana tatizo gani haswaa?? Meneja wa NSSF tawi/mkoa wa Kiondoni ameshindwa kazi??
  2. T

    Car4Sale Nissan Terrano II, SUV, Year 2000 - Going Cheap 6,900,000 tu!!

    Wouldn't have argued otherwise kaka!
  3. T

    Car4Sale Nissan Terrano II, SUV, Year 2000 - Going Cheap 6,900,000 tu!!

    Asante kwa ofa mkuu. Ni nyingi lkn hazitoshelezi kwa sasa. Jivute kidogo tufanye biashara.
  4. T

    Car4Sale Nissan Terrano II, SUV, Year 2000 - Going Cheap 6,900,000 tu!!

    Fast Cash Needed!! Nissan Terrano II, Year 2000, Diesel Engine, 2264 CC, 4-wheel drive. Reg. BAF, Bullet Proof Engine (Engine haijawahi guswa), 7 seaters. Iko kwenye hali nzuri na inatembea. Muuzaji ni mmiliki mwenyewe. Maongezi Yapo. Inapatikana Dar. First Come First Served!!
  5. T

    Kiwanja Sqr Mtr 1700 Kinauzwa Gezaulole - Kigamboni.

    sorry sikuingia siku nyingi. nilikuwa na project zilizonikaba. kiwanja kilishauzwa. asante kwa ushauri.
  6. T

    Kivuko cha Magogoni chakwama

    Yaani hii mv magogoni italeta majanga wasipolishughulia tatizo lake kwa wakati. nasi ndio tunakipanda tena muda huu, tumetangaziwa tatizo wameshalitatua. Ee Mola tunaomba tuvuke salama.
  7. T

    Kiwanja Sqr Mtr 1700 Kinauzwa Gezaulole - Kigamboni.

    uko sahihi mkuu, eneo ni kubwa na zuri. mazungumzo yapo.
  8. T

    Kiwanja Sqr Mtr 1700 Kinauzwa Gezaulole - Kigamboni.

    Kiwanja kimepimwa, ni cha mradi wa manispaa ya temeke. Kina sqr mtr 1750, kwenye ramani kiko kwenye kona pacha za mtaa. kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya makazi, guest house, hotel n.k. Ninakiuza kwa 12M tu (mazungumzo yapo), na wewe utaenda kulipia vocha manispaa 14M. Ramani ya eneo la kiwanja...
  9. T

    Toyota Hiace ya kununua,inatafutwa nipo Mbeya.

    Nina 2L ya ukweli, model ya 90's, dark blue. Kama unajua magari, hilo ni jembe, mikato ya mkoa kwa mkoa ndo mwake. Reg T...CRZ. Ongea biashara, 13M nakuachia. 0784406004
Back
Top Bottom