Recent content by Tz7

  1. T

    Ombi kwa Rais na Wizara ya Utamaduni – Royal Tour sehemu ya pili

    Napenda kutoa wazo la dhati kwa Mheshimiwa Rais na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu kuanzishwa kwa Royal Tour Sehemu ya Pili, ambayo itakuwa ni sehemu muhimu katika kuonesha historia ya viongozi wetu wa jadi – Watemi na Machifu kutoka kila pembe ya Tanzania. Wazo hili linakusudia...
  2. T

    Utambulisho wa Joseph

    Napenda kuchukua nafasi hii kutoa maelezo mafupi kwa jamii yetu kufuatia mijadala mbalimbali iliyoibuka baada ya utambulisho wangu kwenye jukwaa hili. Nimeyasoma baadhi ya maoni na mitazamo, na kwa heshima kubwa, napenda kusema yafuatayo Kwanza, najua kuwa kila jamii ina watu wa mitazamo...
  3. T

    Ombi kwa Rais na Wizara ya Utamaduni – Royal Tour sehemu ya pili

    OMBI KWA RAIS NA WIZARA YA UTAMADUNI – ROYAL TOUR SEHEMU YA PILI Napenda kutoa wazo la dhati kwa Mheshimiwa Rais na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu kuanzishwa kwa Royal Tour Sehemu ya Pili, ambayo itakuwa ni sehemu muhimu katika kuonesha historia ya viongozi wetu wa jadi – Watemi...
  4. T

    Utambulisho wa Joseph

    Habari za wakati huu wanajukwaa wenzangu, Naomba nitumie fursa hii kujitambulisha rasmi. Naitwa Joseph Lucas Mkumbo, nina umri wa miaka 38 na ninatokea Utemini, mkoani Singida. Kwa sasa ninahudumu kama Manager Director wa kampuni ya Africa Sites Mineral, iliyopo Ikungi – Mang’onyi, mkoani...
Back
Top Bottom